Swahili Words
Swahili Words
The official app & game
Distributed by UptoPlay
SCREENSHOTS
DESCRIPTION
Use UptoPlay to play online the game Swahili Words.
Je, ni kwa namna gani upo mahiri kwenye lugha ya kiswahili ? Tumekuletea Swahili Words Ni mchezo (game) ambao utapewa herufi nyingi, kisha utahitajika kuunganisha herufi hizo na kuunda neno lenye maana. Ni mchezo rahisi lakini inahitaji upeo wa kufikiri ili kuweza kufanya kwa usahihi. Ni mchezo mzuri kwani huchangamsha akili, naamini utafurahia... Karibu sana
Enjoy with UptoPlay the online game Swahili Words.
ADDITIONAL INFORMATION
Developer: Fahmicro
Genre: Word
App version: 1.22.9z
App size: 15M
Recent changes: Swahili Words Game, Karibu ucheze Game
Page navigation: