Habari za Michezo - Tetesi
Habari za Michezo
The official app & game
Distributed by UptoPlay
SCREENSHOTS
DESCRIPTION
Use UptoPlay to play online the game Habari za Michezo - Tetesi.
Habari za Michezo - Tetesi ni app maalumu kwa kuhabarisha wapenzi wa habari za kimichezo kutoka nchini Tanzania lakini hata kwa habari za nje ya nchi kote huko habari zake utazipata katika app hii bora ya michezo pia historia za kimichezo makala na uchambuzi wa mechi pia huwa zinatolewa odds hivyo ukiitumia vyema app hii unweza ukawa unapiga mkwanja mzuri katika kubeti.
Habari zote za Simba,Yanga na Azam hazikosekani kabisa katika app hii na hata tetesi zote za usahiri zinatolewa hivyo kukufanya wewe Mwana Michezo kupata kujua zaidi kuhusiana na michezo.
Enjoy with UptoPlay the online game Habari za Michezo - Tetesi.
ADDITIONAL INFORMATION
Developer: Daniel Shukuru
Recent changes: Pata Habari mpya za Michezo, Tetesi za usajili, Matokeo ya mechi pamoja na kutazama mechi online
Page navigation: