TatuaMzuka
TatuaMzuka
The official app & game
Distributed by UptoPlay
SCREENSHOTS
DESCRIPTION
Use UptoPlay to play online the game TatuaMzuka.
TatuaMzuka inakupa nafasi ya kujishindia mamilioni ya TatuMzuka kwa kukupatia namba inayoweza kushinda.
Ukiwa na App Hii unaweza ukafanya haya yafuatayo:
Unaweza ukapata namba ya ushindi ya droo za TatuMzuka
Unapata matokeo ya droo za TatuMzuka
Unapata utabiri wa namba tatu za TatuMzuka
Unapata uwezo wa kuona washindi wa droo za TatuMzuka
Unapata uwezo wa kuhakiki namba yako ya bahati dhidi ya namba zilizoshinda
Unaweza ukachat na watu zaidi ya 50,000 na kujadili masuala mbali mbali yahusu Tatumzuka
Jinsi ya kuitumia
Kwanza Download Application ya Tatua Mzuka hapa
Kisha fungua Application yako, utaona maelezo ya kutumia application hii pamoja na kitufe chekundu na maandishi meupe kimeandikwa "BOFYA HAPA"
Bofya hicho kitufe na subiria wakati namba ina tengenezwa.
Baada ya muda namba tatu zitatokea pamoja na asilimia ngapi hio namba inaweza ikaibuka na ushindi.
Ndani ya app utapata maelekezo zaidi juu ya namna unaweza kuitumia app hii.
TatuaMzuka, Ushindi ni Lazima.
Enjoy with UptoPlay the online game TatuaMzuka.
ADDITIONAL INFORMATION
Developer:
Recent changes:
Page navigation: