Ushairi wa Mwanagenzi
Ushairi wa Mwanagenzi
The official app & game
Distributed by UptoPlay
SCREENSHOTS
DESCRIPTION
Use UptoPlay to play online the game Ushairi wa Mwanagenzi.
Ushairi wa Mwanagenzi ni kitumizi kinachompa tumaini mshairi chipukizi aliye na ari ya kuwa malenga ili kuendeleza fani ya ushairi. Pamoja na kuimarisha washairi chipukizi. kitumizi hiki huelimisha na kuchanganua masuala tofauti yanayohitajika katika ushairi bora.
Utasoma mengi kutoka kwa washairi chipukizi nchini Kenya na Tanzania. Makala yametolewa kwa tovuti ya ushairi.kimnet.co.ke iliyo na lengo la kuwapa moyo washairi chipukizi. Kuna maelezo kemkem yanayoelezea na kufafanua kuhusu ushairi wa Kiswahili. Ni maelezo na mashairi yatakayomfaa mwanafunzi wa shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu.
Hivi hapa vidokezo vya kitumizi hiki:
- Mpangilio mwafaka wa maelezo kwa lugha teule ya Kiswahili.
- Mashairi yaliyopangwa kwa aina, washairi, maudhui na bahari.
- Arifiwa punde tu tunapochapisha mashairi mapya.
- Tafuta mashairi kulingana na maudhui, watunzi au maneno kwenye mashairi
- Picha iliyoteuliwa kwa kila shairi inayoambatana na dhamira ya kila shairi.
- Soma shairi moja kwa jingine kwa urahisi wa kufungua.
- Hifadhi mashairi kwa kubonyeza kitufe ili uyasome baadaye.
- Shirikisha mashairi na makala kwa wengine kutumia Whatsapp, Facebook n.k.
Tutazidi kusasisha kitumizi hiki na kuongeza maelezo, mashairi na makala mbalimbali ili kukufaa zaidi. Tafadhali kipendekeze kwa kuweka nyota tano.
Shukran.
Enjoy with UptoPlay the online game Ushairi wa Mwanagenzi.
ADDITIONAL INFORMATION
Developer: Kimnet Media
Genre: Education
App version: 10.0
App size: 2.0M
Recent changes: - Kubadilisha picha ya kutambulisha
Comments:
Nampa pongezi msanidi programu hii Bwana Kimani wa Mbogo kwa kazi nzuri anayoifanya; kuuendeleza ushairi kwa njia ya kisasa. Nimejifunza mengi kutokana na mradi huu.
Kazi safi hini. Hongera sana Bingwa Kimani wa Mbogo kwa mafunzo haya.'
Page navigation: