Kitabu cha Swala na jinsi ya kuswali
![Play Kitabu cha Swala na jinsi ya kuswali APK Play Kitabu cha Swala na jinsi ya kuswali APK](/imagescropped/kitabuchaswalanajinsiyakuswaliicon128.jpgplus.webp)
Kitabu cha Swala na jinsi ya kuswali
The official app & game
Distributed by UptoPlay
SCREENSHOTS
DESCRIPTION
Use UptoPlay to play online the game Kitabu cha Swala na jinsi ya kuswali.
Hiki ni kitabu kitakachokupa mafunzo ya swala, namna ya kuswali kama alivyoswali Mtume Muhammad (s.a.w) na masahaba zake.
Utajifunza:-
1. Jinsi ya kutia udhu
2. Kuondoa najisi
3. kuoga na kujitwaharisha
4. Sharti za swala
5. Nguzo za Swala
6. Dua za kwenye swala
7. tahiyatu
8. Swala ya Mtume
9. Dua baada ya swala
10. Yanayoharibu swala
11. Sunnah za swala
Kama utaona kuna makosa yeyote ya kiuadhishi ama kifahamu, tafadhali wasiiana nasi.
Enjoy with UptoPlay the online game Kitabu cha Swala na jinsi ya kuswali.
ADDITIONAL INFORMATION
Developer: BONGOCLASS
Genre: Books & Reference
App version: 1.0
App size: 4.8M
Comments:
'Mother is everything for me 'Good 'Good 'Nice 'Nice'Page navigation: